Msanii
wa filamu nchini, Hisan Muya akifafanua jambo kwa waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa filamu ya C.I.D utakaofanyika
siku ya Ijumaa katika Ukumbi wa Business Park Victoria. Kulia ni Meneja
wa kampuni ya Tino Muya, Wilson Makubi. Picha na Habari Mseto Blog
TANZANIA WAMEPOTEZA MECHI YA KWANZA YA AFCON
-
Matokeo ya baadhi ya mechi za michuano ya kombe la Afcon.
6 hours ago
No comments :
Post a Comment