| Kocha mkongwe katika masumbwi, Habibu Kinyogoli 'Katikati' akibadilishana mawazo na makocha wa mchezo huo kushoto ni Kocha wa timu ya Taifa Mzonge Hassani na Kocha wa Kimataifa wa mchezo uho anaefundisha timu ya Ashanti pamoja na timu ya Mkoa wa Kimichezo ya Ilala Rajabu Mhamila 'Super D' walipokutana katika kambi ya ngumi Ilala Dar es salaam juzi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
FALIALA MBUTU KUZIKWA JUMATATU DISEMBA 29
-
Mazishi ya mwanamuziki Faliala Mbutu ambaye alikua mume wa mwanamuziki
mkongwe wa muziki wa dansi Luiza Mbutu yatafanyika Jumatatu tarehe
Desemb...
1 day ago
No comments :
Post a Comment