Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, October 13, 2012

BONDIA THOMAS MASHALI NA MEDY SEBYALA wa UGANDA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO KESHO JUMAPILI



Bondia THOMAS MASHALI kushoto akitunishiana misuri na MEDY SEBYALA wa UGANDA baada ya kupima uzito Dar es salaam leo kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya kumbukumbu ya baba wa Taifa katika pambano la Ubingwa wa Africa mashariki litakalofanyi ukumbi wa Friends corner hotel siku ya jumapili 14/10/2012a katika anaeshudia katikati ni Rais wa TPBC Onesmo Ngowi ambaye ndie msimamizi mkuu wa mpambano huo pIcha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Jonas Segu akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia mpambano huo wa mabondia chipkizi umefuta isia za watu wengi kwa upande wa wapenzi wa mchezo wa masumbwi nchini www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Jonas Segu kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakitunishiana misuri baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia MEDY SEBYALA wa UGANDA akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na THOMAS MASHALI litakalofanyika kesho katika ukumbi wa Friends corner hotel pambano la Ubingwa wa Africa masharikipicha na pambano la Ubingwa wa Africa mashariki picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na jonas Segu kulia utakaofanyika kesho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments :

Post a Comment