Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, July 1, 2011

MKURUGENZI WA BENKI YA POSTA TANZANIA ATAMBULISHWA KWA WAANDISHI WA HABARI

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Posta Tanzania Bw. Sabasaba Moshingi

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Posta Tanzania Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuteuliwa na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kushika wadhifa huo kulia ni Mwenyekiti wa Bondi wa Benki hiyo Prof.Lettice Kinunda.(Picha na Mpigapicha Wetu)

Mkurugenzi akizungumza leo

Ofisa wa Bank ya Posta Noves Moses akiwa katika mkutano huo leo

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Posta Tanzania Bw. Sabasaba Moshingi na Mwenyekiti wa Bondi wa Benki hiyo Prof.Lettice Kinunda waliokaa wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya banki hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Posta Tanzania Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuteuliwa na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kushika wadhifa huo kulia ni Mwenyekiti wa Bondi wa Benki hiyo Prof.Lettice Kinunda.(Picha na Mpigapicha Wetu)

No comments :

Post a Comment