Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiaka na Mkurugenzi wa Radio One, Deogratius Rweyunga baada ya kutambulishwa kwake na Mkurugenzi wa ITV/Radio One Joyce Mhaville leo |
Nape akimsalimia Zembwela baada ya kuingia katika Studio ya East African Radio. Zembwela ambaye pia ni msanii maarufu wa fani ya ucheshi na maigizo sasa ni mtangazaji maarufu wa kituo hicho. |
Rweyunga akimweleza Nape vitu vinavyorushwa ndani ya studio za radio one |
Mhariri wa habari wa ITV, Steven Chuwa akiwa na Nape |
Nape akikaribishwa na Mkurgenzi wa East African TV/Radio, Regina Mengi |
Nape akishuhudia 'mapishi' ya vipindi vya EATV/Radio |
Mtangazaji wa michezo wa Eatv/Radio Patrick Nyembera (wapili kushoto) akitaka kupata mawili matatu kuhusu sports kutoka kwa Nape alipoingia studio za vituo hivyo |
Regina Mengi akimuonyesha Nape utendaji katika mitambo ya EATV/Radio |
Ndani ya Chumba cha habari cha New Habari Corporatios Ltd, watu wakichapa kazi wakati Nape alipotembelea ofisi za kampuni hiyo |
Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye akizungumza na viongoi wa New Habari Corporations Ltd, 6/72011, Kushoto ni Mkurugezi Mtendaji wa kampuni hiyo, Hussein Bashe |
Mhariri wa Mttanzania, Manyerere Jackton (kushoto) akizungumza jambo na Nape mwishoni mwa ziara hiyo. kulia ni Mhariri Mtendaji wa kampuni hiyo Deodatus Balile |
Nape akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa New Habari Corporations Lts baada ya ziara hiyo, NH ni wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, The African, Dimba na Rai |
No comments :
Post a Comment