Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, May 24, 2012

BREAKIIING NEWSSSS, MCHUNGA HATIMAYE AMEJIUZURU YANGA


Inadaiwa MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Lloyd Nchunga (pichani), hatimaye amejiuzuru wadhifa huo.

Habari hizi ambazo bado hazijathibitishwa rasmi tumezipata hivi punde kutoka kwenye vyanzo vyetu vya habari.

Kujiuzuru kwakwe kunafuatia shinikizo kubwa kutoka kwa kamati ya wazee wa Yanga, ambao walifanya mkutano wiki iliyopita uliohudhuriwa na zaidi ya wanachama 700 ambao kwa kauli moja walimtaka Mchunga aachie ngazi.

Habari zaidi juu ya hilo tunaahidi kuwajulisha pende.
Kwa hisani ya  http://richard-mwaikenda.blogspot.com/

No comments :

Post a Comment