Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, May 21, 2012

ZANTEL YATOA UDHAMINI MNONO BSS




Mshindi wa BSS mwaka huu kujinyakulia Shs. millioni 50, amezungumza makamu wa Rais wa Kampuni ya Zantel, Ahmed Mokhles kuhusiana na kampuni yao kudhamini shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search.
  
Master J

Shaa

Mkurugenzi wa Benchmark Production Madam Rita, waandaaji wa BSS

Wasanii na wadau waliohudhuria ktk uzinduzi wa BSS Serena Hotel Dsm

Shindano la BSS mwaka huu litajulikana kama ‘Epiq Bongo Star Search’  ambapo mshindi atanyakua shilingi milioni 50 tofauti na millioni 40 ya mwaka jana pamoja na zawadi nyingine kutoka Zantel, sambamba na mkataba wa kurekodi ili aweze kuendeleza kipaji chake baada ya shindano hilo. 
Mchakato wa mwaka huu utawahusisha washiriki kutoka  mikoa nane tofauti na saba ya mwaka jana Zanzibar, Lindi, Mbeya, Mwanza, Arusha, Tanga, Dodoma na Dar es Salaam mchakato utaanza mwezi Juni na pia wamepunguza umri wa kushiriki kutoka miaka 18 mpaka 16 sasa.

No comments :

Post a Comment