Meneja
wa Tawi wa Benki ya NBC Morogoro, Jasson Shumbusho (kulia) akikabidhi
mfano wa hundi ya shs Milioni 5.1 kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Sanaa za
Maonyesho ya Ngoma Africa Performing Arts, Davie Kitururu ikiwa ni
udhamini wa NBC katika tamasha la sanaa la watoto la Paukwa. Kushoto ni
Mkurugenzi mwenza wa Taasisi hiyo, Bi. Maya Davie na wengine ni baadhi
ya wafanyakazi wa benki hiyo.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment