Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, May 23, 2012

R.I.P MUDY BACHECHE 40




Mudy Bacheche(kulia) akiwa na nduguye Mkamba Ali Othman ambaye walikuwa wakielewana sana na ndio kila mmoja bestman wa mwenzie katika harusi zao.MKAMBA alifariki wiki moja baada ya kifo cha mudy kwa kuuguliwa na mafindofindo makali ya kooni..Mudy Bacheche ambaye amewahi kuwa bingwa wa pool na Mkamba ni wapwa wa IBRAHIM KAMWE”BigRight” wenyewe wanamwita anko T.
 Familia ya marehemu MZEE ABDALLAH MOHAMMED ( MACHECHE) ,wanapenda kutoa shukrani za dhati kwa mchango wenu mkubwa mlio uonyesha wakati maazishi katika shughuli nzima za kumpumnzisha mtoto wetu mpendwa"
MOHAMMED ABDALLAH (BACHECHE)"
 Tunapenda kuwaarifu kwenye shughuli ya AROBAINI ya mtoto wetu itakayofanyika nyumbani kwao kwa Marehemu MZEE ABDALLAH MOHAMMED (MACHECHE) Makumbusho / kijitonyama,karibu na shule ya msingi makumbusho. Tarehe 26/05/2012, Kuanzia saa saba mchana baada ya sala ya adhuhuri
MUNGUAZILAZE ROHO ZAO MAHALI PEMA PEPONI  ‘Ameen’

No comments :

Post a Comment