Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, May 21, 2012

FLAVIANA MATATA KUTOA MSAADA KUMBUKUMBU YA MV BUKOBA




Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal (kushoto) akiwa na Flaviana Matata, katika  hafla iliyofanyika jijini Dar jana. 
Mwanamitindo wa Kimataifa,  Flaviana Matata amekuja nchini akitokea nchini Marekani anakoishi na kufanya shughuli zake, amewasili nchini kwa lengo la kutoa msaada wa Vifaa vya kuokolea maisha Majini (Life Vest) ambavyo atavikabidhi Jijini Mwanza leo.

Ikiwa ni miaka 16 tangu alipompoteza mama yake mzazi katika ajali hiyo ya MV BUKOBA iliyozama katika Ziwa Victoria, Matata ameamua kutoa msaada huo wa vifaa vya kuokolea maisha ikiwa ni sehemu ya kumuenzi na kumkumbuka mama yake mzazi.

No comments :

Post a Comment