Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, May 26, 2012

RINGA KWA WAKA MOTO MASHINDANO YA SAFARI HIGHER LEARNING POOL YALIYOFUNGULIWA RASMI LEO.




 Mchezaji kutoka Chuo cha St.John cha Dodoma, Obiara Anyoti akicheza dhidi ya mpinzani wake Kweka John (hayupo pichani) wakati wa mashindano ya Safari Higher Learning Pool Competition yanayofunguliwa leo rasmi Mkoani Iringa.
 Wanafunzi wachezaji kutoka vyuo mbalimbali shiriki wa mashindano ya Safari Higher Learning wakifuatilia mashindano yaliofunguliwa leo Mkoani Iringa.
 Mchezaji kutoka Chuo cha MUCCOBS CHA Mkoani Moshi, Kweka John akicheza dhidi ya mpinzani wake Obiara Anyoti(hayupo pichani) wakati wa mashindano ya Safari Higher Learning Pool Competition yanayofunguliwa leo rasmi Mkoani Iringa.
 Wachezaji wakishindana kulagi wakati wa mashindano ya Safari Higher Learning Pool Competition yanayofunguliwa leo rasmi Mkoani Iringa

 Mchezaji wa chuo cha MUCCOBS, cha Moshi Kilimanjaro,Selemani Nassoro akipanga kete nyeupe ili acheze
 Wachezaji wakishindana kulagi wakati wa mashindano ya Safari Higher Learning Pool Competition yanayofunguliwa leo rasmi Mkoani Iringa.

Wanafunzi wachezaji kutoka vyuo mbalimbali shiriki wa mashindano ya Safari Higher Learning wakifuatilia mashindano yaliofunguliwa leo Mkoani Iringa.

No comments :

Post a Comment