Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, June 11, 2012

MASHABIKI WA CHELSEA BONGO KUJIPONGEZA JUNI 24





KATIBU Mkuu wa mashabiki wa Chelsea nchini Clifford Ndimbo (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na sherehe za ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, kushoto kwake ni mhazini Kwame na kulia ni mujumbe wa kamati hiyo, Rwehure Nyaulawa.


Ndimbo alisema sherehe hizo zitafanyika June 24, mwaka huu, kwenye Ukumbi wa Msasani Club uliyopi Kawe jijini Dar es Salaam na kuongeza kuwa wamewaalika pia mashabiki wa Manchester United na Arsenal.


Aliongeza kuwa Chelsea watacheza mechi na Arsenal na Manchester na mshindi atapewa zawadi, lakini pia kutakua na michezo kwa watoto watakaofika na wazazi wao kwa ajili ya sherehe hizo nao wameandaliwa zawadi.

Viingilio katika sherehe hizo kitakuwa ni Sh, 10,000 watoto ni bure, pia kutakuwa na burudabi mbalimbali ambazo zitatangazwa hapo baadae.

No comments :

Post a Comment