Bingwa wa Dunia mchezo wa masumbwi Duniani Floyd Mayweather juzi 
alifanya mazoezi hadharani mbele ya waandishi wa habari ikiwa na 
maandalizi yake ya mwisho kabla ajakumbana na bondia Miguel Cotto may 5 
mwaka huu Mayweather mwenye histori ya kutopoteza ata pambano moja 
duniani atakambana na bondia mweye histolia ya kuwa mbishi wa kupigwa 
kiraisi ingawa ameshapoteza mapambano yake mawili moja ikiwa na bingwa 
wa Dunia na ni Mbunge wa Filipino Manny Paquaio na Antonio Marilarito 
mbali ya kupigwa na maligalito mara ya kwanza mara yapili alilipa kisasi
 na kumshinda kwa K,O ya raundi ya kumi hivyo kufanya mpambano wake ma 
Maywether kuwa mgumu kwani si wakutabilika wapenzi wa mchezo wa masumbwi
 duniani wanalisubili kwa hamu kubwa mpambano huo kuwa wa histolia ya 
pekee pindi watakapo kutana jumamosi hii
 
No comments :
Post a Comment