Warembo
wa Redds Miss Ukonga katika kambi yao ya mazoezi iliyopo Ukonga Hill
Tech Bar maeneo ya Minazi Mirefu au maarufu Banana wakiwa kwenye mazoezi
ya pamoja kujiandaa na siku ya fainalijumamosi hii 05/05/2012 ambapo
mshindi anatarajiwakuungana na washindi toka vitongoji vingine
watakutana katika Kambi ya Redds Miss kanda ya Ilala kabla ya kwenda
kushiriki shindano la taifa la Redds Miss Tanzania 2012.
RC KUNENGE APIGA KURA AHIMIZA WANANCHI WENGI KUSHIRIKI UCHAGUZI LEO
-
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge akitekeleza zoezi la kupiga kura
leo asubuhi aliposhiriki katika kituo chake kilichopo Wilayani Kibaha.
Na M...
3 days ago
No comments :
Post a Comment