Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya 4Beli, Deogratius Soka (kulia) akisoma
hotuba wakati wa uzinduzi wa Tamasha la
Kihistoria la Bagamoyo uliyofanyika Bagamoyo, Mkoani Pwani mwishoni mwa wiki. Wengine kutoka kushoto ni, Katibu Msaidizi wa
Shirikisho la Riadha Tanzania, Mama Ombeni Zavala, Ofisa Elimu wa Mkoa wa Pwani , Yusuf Kipengele aliyekuwa
akimwakilisha mkuu wa mkoa huo, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana
Utamaduni na Michezo, Elisante ole Gabriel, Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo, John Mhali na
Mkurugenzi wa 4Beli, Gilbert Herman.
Katibu Tawala wa Wilaya
ya Bagamoyo, John Mahali alizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo iliyofanyika
Bagamoyo, Mkoani Pwani . Wengine kutoka
kushoto ni, Katibu Msaidizi wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Mama Ombeni
Zavala, Ofisa Elimu wa Mkoa wa Pwani , Yusuf
Kipengele aliyekuwa akimwakilisha mkuu wa mkoa huo, Naibu Katibu Mkuu, Wizara
ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Elisante ole Gabriel na Mkurugenzi wa
4Beli, Gilbert Herman.
MIKAKATI YAWEKWA KWA WENYE UHUTAJI MAALUM KUKABILIANA NA MAAI
-
Na Mwandishi Wetu , Berlin , Ujerumani
Mfuko wa Dunia wa Watu wenye Wlemavu (Global Disability Fund – GDF)
umezikutanisha nchi zaidi ya 23 Mjini Berli...
8 hours ago
No comments :
Post a Comment