Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, March 13, 2014

UDEGE KATIKA POZI TOFAUTI







MSANII wa filamu nchini Athumani Lali 'Budege'  amesema baada ya kuipua fadha hausi yupo mbioni kuingia mkataba na  wasanii mbalimbali nchini kwa ajili ya kufanya nao kazi na kampuni yake
baada ya kuamua kufungua kampuni yake binafsi inayokwenda kwa jina la AJM Entatainment ambayo ina husika na maswala ya filamu za kibongo

Athumani Lali 'Budege' yupo mbioni kuongea na mmoja ya warembo wanaotamba katika tasnia ya filamu Wema Sepetu kwa ajili ya kufanya nae kazi na uku akimtaja Wastara Juma kuwa nae pia ni mmoja ya watu anaepoenda kufanya nae kazi ya filamu nchini

msanii huyo aliongeza kwa kusema anataka katika filamu zake zote zijazo zisikose angarau ma super star watano kwa kuwa uwezo wa kufanya hivyo anao na kutokana na galama sio kitu cha kujali ila ubora wa kazi ndio unaotakiwa kwa sasa sokoni

No comments :

Post a Comment