Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi
wa habari kwenye kituo cha polisi cha Urafiki wakati akitangaza
kukatatwa kwa watuhumiwa 17 wanaorudufu kazi za wasanii kinyume na
utaratibu yaani kazi feki katika jiji la Dar es salaam na baadhi ya
mikoa ambapo kazi feki za wasanii zilizokamatwa thamani yake ni shilingi
milioni 12, Kulia ni ASP Denis Moyo mkuu wa upelelezi wa kituo hicho
ambaye amesema amethibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa 17 ambao
wanasubiri kupelekwa mahakamani.(PICHA NKIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR
ES SALAAM)
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama na KAMASP Denis Moyo mkuu
wa upelelezi wa kituo hicho wakionyesha CD feki zilizokamatwa jijini
Dar es salaam
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akionyesha mashine ya Photocopy inayotumiwa kurudufu CD hizo.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama na ASP Denis Moyo mkuu wa
upelelezi wa kituo hicho wakionyesha CD feki zilizokamatwa jijini Dar
es salaam
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akifafanua zaidi kuhusu
wizi huo wa kazi a wasanii unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara na
kuwanyonya wasanii.
Kituo cha polisi cha Urafiki
No comments :
Post a Comment