Mratibu wa shindano la Redd's miss Kinondoni 2014 Innocent Melleck
katikati akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar Es Salaam juu ya
shindano la kanda ya kinondoni litakalofanyika katika ukumbi wa Escape
One ijumaa kwa kiingilio cha 10,000 kwa viti vya kawaida na 30,000 kwa
VIP huku burudani za Malaika Bend chini ya Chirstian bella na Young Suma
na tayari tiketi zipo mtaani. Baadhi ya warembo wa shoto ni matroni wa kambi hiyo Husna Maulid na
kulia ni Mkuu wa itifaki wa kamati ya Miss Tanzania Albert Makoye
SGR :HATUNA MPANGO WA KUONGEZA NAULI
-
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema halina mpango wa kuongeza nauli za
usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, kwa
ku...
4 days ago
No comments :
Post a Comment