Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria Shila (klatikati) akipunga mkono baada
ya kutangazwa kuwa ndie mshindi wa taji hilo na kuwaongoza warembo
wengine 15 waliokuwa wakiwania taji hilo. Wengine mshindi wa pili Camila
Cindy John (kulia) na mshindi wa tatu Queenlatifa Hasim. Shindano hilo
lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamia jana. (Picha na Father Kidevu
Blog).
KIDUME KILIVYOMPIGA SHERE SIMBA
-
Jacob Lekumbere,Afisa Utalii kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
hatosahau siku alipotumia mbinu za kimedani kumkwepa simba aliyetazamana
naye uso...
5 hours ago

No comments :
Post a Comment