Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, August 11, 2014

WAKALA MKUU WA KINYWAJI CHA BAVARIA NCHINI JOVET TANZANIA YAWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI MAWAKALA WA BAVARIA KUTOKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI



 Mkurugenzi Mkuu wa Jovet Tanzania Limited Ndugu John Kessy akitafakari jambo wakati wa chakula cha jioni alichowaandalia mawakala wa Bavaria eneo la Afrika ya mashariki.
Ndugu John Kessy mkurugenzi wa kampuni ya JOVET TANZANIA Ambao ndio mawakala wakuu wa kinywaji cha Bavaria katika ukanda wa Afrika Mashariki akimpongeza Innocent Gasangwa, wakala wa Bavaria kutoka nchini Rwanda
  Baadhi ya wadau wa Bavaria wakibadilishana mawazo wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na jovet Tanzania limited wasambazaji wa kinywaji cha Bavaria eneo la Afrika Mashariki
 Ndugu Justus Kyolike meneja masoko mkazi wa Bavaria akiteta na wadau wa Bavaria

No comments :

Post a Comment