Rais wa bendi ya Fm Academia Nyoshi Elsadat akiimba wakati wa utambulisho wa uzinduzi wa DVD ya Live, Utamu wa Vanila,jana inayotarajiwa kuzinduriwa Dar es salaam leo kushoto ni Ofisa uhusiano wa kampuni ya simu za mkonono ya Zaini Celin Njuju, ambao ni wadhamini.(Picha na Rajabu Mhamila)
HII NDIO LAETOLI
-
Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro ikiongozwa na
makamu Mwenyekiti Dkt. Harriet Mtae jana tarehe 11 julai, 2026 imekagua
ubores...
1 day ago
No comments :
Post a Comment