Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, October 16, 2011

MUHIMBAJI WA TWANGA PEPETA HAJI RAMADHANI AZOA MIL.40 ZA BSS-SECOND CHANCE












Mshindi wa Bongo Star Search Second Chance, Haji Ramadhan akiwa na briefcase iliyojazwa kitita cha shilingi mil.40 alizokabidhiwa kutokana na kutwaa nafasi hiyo katika shindano lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee.





Waziri Salum ambaye alishika nafasi ya pili na kuzawadiwa shilingi mil.10




Rodgers Lucas, alishika nafasi ya tatu na kuondoka na shilingi milioni tano.




Mwanadada pekee ambaye alitinga fainali za shindano hilo, Bela Kombo huyu alikuwa wa nne.





Mkali kutoka Nigeria anayetamba na kibao cha ASHAWO,anajulikana kama MR FLAVOUR alitumbuiza katika shindano hilo ambapo pia wasanii kiama mshindi wa Tusker Project Fame mwaka 2010, Alpha, mmoja ya washindi wa Tusker All Stars mwaka 2011, Peter Msechu, Mkali kutoka Uganda, Navio, Mshindi wa BSS 2007, Jumanne Iddi na Mshindi wa BSS 2010, Maryam

No comments :

Post a Comment