Rais Jakaya Kikwete akiagana na viongozi wa ngazi za juu wa CCM baada ya mazishi ya Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Uhuru FM Juma Penza, jana katika makaburi ya Kisutu mjini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), John Chiligati.
GUTERRES: TANZANIA NI ‘MFANO WA AMANI DUNIANI ’
-
"Tanzania inaendelea kuwa mfano wa amani na mshikamano wa kijamii barani
Afrika na duniani kote."
Hayo ni maneno ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe...
2 hours ago


No comments :
Post a Comment