Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, October 22, 2011

WAZIRI MEMBE ATEMBELEA BANDA LA WAJASIRIAMALI WANAODHAMINIWA NA UN



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akinusa bidhaa ya mshumaa inayotengenezwa na wajasiriamali wanaodhaminiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa wakati Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ilipofanya maadhimisho ya kusheherekea miaka 50 ya Uhuru jijini Dar es Salaam.Wa kwanza Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa J&L Handicrafts Louise Judicate Mushi na Katikati ni Mwakilishi UN Communication Group (UNCG) Magnus Michael Minja.
Waziri Membe akikagua bidhaa kwenye banda la Mama Magessa Muna kutoka Kym's Enterprises.
Bi.Fatma Amour akionyesha zulia lililotengenezwa kwa ngozi ya Mbuzi kwa Mhe. Mgeni rasmi Waziri Membe.
Mgeni rasmi Mhe. Membe akizungumza na Programme Officer wa UNAIDS Amandine Oleffe katika banda la UNAIDS katikati ni Mhamila Rajabu 'Super D Boxing Coach' akiwa katika harakati ya kupata taswira mbalimbali

No comments :

Post a Comment