Bingwa wa Mabara bondia Francis Cheka akiwa na mikanda yake minne
ya ICB, IBF, WBC na UBO mara baada ya kuwasili mjini Morogoro leo akitokea Dar
es Salaam alikopanda ulingoni kupambana na bondia Karama Nyilawila. (Picha na
Joseph Malembeka).
CCM YAONYA WATEULE MIUNDOMBINU ZANZIBAR
-
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitamvumilia mteule yeyote wa Rais
wa Awamu ya Nane, Dkt. Hussein Ali Mwinyi wala taa...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment