Kocha Kondo Nassoro akimuonesha jinsi ya kupiga ngumi Zainabu Mhamila (Ikota Super D) uku nyuma akisimamiwa na Kocha Mkongwe Habibi Kinyogoli wakati wa mazoezi yaliyofanyia katika kambi ya Ilala mchezo wa ngumi umekuwa ukionekana kuwa ni uwadui wakati ni miongoni mwa michezo inayopendwa na kutamba Duniani
DKT. YONAZI TUKO TAYARI KWA CHAN 2025
-
Dkt. Jim Yonazi aongoza makatibu kukagua viwanja,asema sasa Tanzania
timamu kwa CHAN .
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt....
1 hour ago
No comments :
Post a Comment