Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, August 4, 2009

BFT WAPATA MDHAMINI WA NGUMI TAIFA!!!

Mwenyekiti wa chama cha ngumi za Ridhaa nchini (BFT) Joan Minja (kushoto) akipokea hundi ya shilingi M,2.5 kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Bavaria John Kessy jana kwa ajili ya udhamini wa michuano ya ngumi za Taifa zinazotarajia kufanyika Dar es Salaam anaeshughudia ni Mwenyekiti wa makocha na waamuzi wa mchezo uho kapteni John Kirigiti.(Picha na Rajabu Mhamila)
CHAMA cha Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), kimepokea hundi ya shilingi milioni mbili na nusu kwa ajili ya kusaidiwa katika mashindano ya mchezo huo yanayotarajiwa kuanza Agosti 17 hadi 22 mwaka huu.

Kiasi hicho cha fedha kimepokelewa na Rais wa Chama hicho Joan Minja, kutoka kwa Kampuni ya Kutengeneza vinywaji vya Bavria ya Joveti ambayo ndio inayodhamini mashindano hayo.
Akikabidhi hundi hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo John Keis amesema kuwa kampuni yake itaendelea kukisaidia chama hicho kadri ya uwezo wao utakavyowaruhusu.
Akizungumza mara baada ya kupokea hundi hiyo Rais wa Chama hicho Joan Minja amesema kuwa mashindano hayo yatafanyika katika viwanja vya Leaders Dar Es Salaam na kushirikisha takriban Mikoa yote ya Tanzania.
Amesema kuwa katika mashindano hayo kutatoa nafasi ya kuchaguliwa ka timu ya Taifa ya mchezo huo itakayoshiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika mwakani.
Awali michuano hiyo ilipangwa kufanyika Juni 27 mwaka huu, Mkoani Singida na kushindikana kutokana na ukata wa kifedha na baadae kuhamishiwa Dar Es Salaam ambapo yalipangwa kufanyika Agosti 24 na kurejeshwa nyuma na sasa kufanyika Agosti 22 hadi 24 mwaka huu.

No comments :

Post a Comment