UWEPO NA MWENENDO WA KIMBUNGA “CHENGE” KATIKA ENEO LA KUSINI MAGHARIBI MWA
BAHARI YA HINDI.
-
Dar es Salaam, 22 Oktoba, 2025:
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo na mwenendo
wa Kimbunga “CHENGE” katika Bahari ya Hindi,...
11 hours ago
No comments :
Post a Comment