Mchezaji wa Bernad Nguya wa Manyema United akimtoka Athumani Idd wakati wa mchezo wa ligi ya vodacom mchezo uliofanyika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam jana,Yanga ilishinda bao3-0.
Yanga 3 - 0 Manyema Rangers
Jery Tegete dk 24, 83
Mike Barasa dk 45 (pt)
Tanzania Prison 0 - 1 Tanzania Prison
David Naftali dk 72
Maji Maji 0 - 1 JKT Ruvu
Hussein Bunu
No comments :
Post a Comment