Akizungumza na kipindi cha Michezo cha Radio Times FM Katibu mkuu wa TFF Fredrick Mwakalebela amesema mchezo wa Ngao ya Hisaniutakuwa ukichezwa kila mwaka wiki moja kabla ya kuanza kwa ligi Kuu Tanzania bara.
Mchezo huo uliwahi kuchezwa mara moja lakini ukapotea na sasa TFF wameamua kuurejesha kwani nchi nyingi za Ulaya zimekuwa zikifanya hivyo.
No comments :
Post a Comment