---
Kundi la Jahazi Modern Taarab chini ya
kiongozi wake, Mzee Yusuf ' Mfalme' usiku wa 'Boxing Day' lilifanya
makamuzi ya nguvu ndani ya ukumbi wa maraha wa Dar Live uliopo Mbagala
Zakhem jijini Dar es Salaam na kuzikonga nyoyo za wapenzi wa taarab
waliofurika mahali hapo. Pichani juu ni baadhi ya matukio yaliyochukia
nafasi wakati wa shoo hiyo.PICHA: ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS / GPL
No comments :
Post a Comment