Kwamujibu
wa sheria tunazotangaziwa na mamlaka ya mapato hapa nchini mwenye bango
hili hapa nae anapasa kulilipia kodi lakini je niwenye mabango wangapi
kama haya wanalipa? nakama wanalipa hiyo kodi kweli inafika TRA ? Kama
halipi au kodi haifiki tatizo nini Sheria au mfumo? Tushirikiane tujenge
nchi! Bango hili limenaswa na
kamera yetu mbele ya kituo cha Polisi cha Urafiki hii leo. Kama
kungekuwa na umakini wa ukusanyaji wa kodi kutokana na vyanzo
vilivyoainishwa na sheria serikali ingeweza kukusanya kodi ya karibu
Tsh.Trilioni moja kwa mwezi badala ya i Tsh Billioni500 za sasa. |
No comments :
Post a Comment