Mwandishi
wa Habari za michezo Mwandamizi wa Gazeti la Jambo Leo, na mchezaji wa
timu ya TASWA Fc, Julius Kihampa, akimvisha pete ya ndoa Mke wake Grace
Kingarame, ambaye pia ni Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa
(TBC), wakati wa ibada ya Ndoa yao iliyofanyika kwenye Kanisa la
Anglikana la St Albano jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
USHAHIDI WA TUNDA LA MTI WA KATI KULIWA NGORONGORO HUU HAPA
-
Mwaka 1976, Mtafiti wa masuala ya Akiolojia Dr. Mary Leakey aligundua nyayo
za Zamadamu eneo la Laetoli zilizohifadhika katika mwamba wa jivu la
volcano ...
14 hours ago
No comments :
Post a Comment