Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia,
Hamid Ameir Ali, ambaye ni Waziri Mstaafu na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar, wakati alipofika kumjulia hali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja mjni
Zanzibar jana Desemba 20, 2012, alikolazwa kutokana na kusumbuliwa na maradhi
ya malaria na Kifua.
RC NYONGO AAGIZA UPANDAJI MICHE MILIONI MBILI YA KOROSHO PWANI
-
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo, amezitaka Halmashauri
zote za Mkoa huo kuhakikisha zinapanda miche ya mikorosho milioni mbili kwa ...
19 hours ago

No comments :
Post a Comment