Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, December 12, 2012

TIGO YADHAMINI MAADHIMISHO MIAKA 15 YA BENDI YA FM ACADEMIA



 Kiongozi wa Bendi ya FM Academia 'Wana Ngwasuma', Nyoshi El-Sadaat akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya miaka 15 ya bendi hiyo, yatakayofanyika kesho Msasani Beach Club jijini.  Kushoto ni Mratibu wa maadhimisho hayo yanayodhaminiwa na Kampuni ya Tigo, Naasib Mahunya.
Ofisa Masoko wa Tigo, Alex Msigara akielezea kuhusu udhamini wao katika maadhimisho ya miaka 15 ya bendi hiyo
Wapigapicha wakiwa kazini wakati wa mkutano huo

No comments :

Post a Comment