Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, December 13, 2012

UONGOZI WA WANAJUMUIYA WA WATZ WA NEW YORK WAWASHUKURU WANAJUMUIYA KWA KUFANIKISHA SHEREHE YA MAPOKEZI YA BALOZI MANONGI NA NAIBU WAKE




 Uongozi wa Jumuiya ya watanzania waishio Marekani, unawashukuru kwa dhati wote walioshiriki kuandaa sherehe ya kumkaribisha Balozi Manongi na Naibu wake Balozi Mwinyi.
 
Tunayo furaha kubwa kwenu kuwashukuru kwa ushirikiano mkubwa katika kufanikisha sherehe hii.
 
Msaada wenu wa kifedha na vyakula mbali mbali viliwezesha kufanikiwa kwa maandalizi hadi kufanyikwa kwa sherehe yetu na kufurahiwa na kila aliyehudhuria.
 
Pia tunawashukuru kwa Amani na Utulivu tulioonyesha. Wageni wetu waalikwa Balozi Manongi na Naibu Mwakilisha Balozi Ramadhani Mwinyi pamoja na familia zao walifurahi sana.
 
 Balozi manongi ameomba tuwafikishie salam zake binafsi za shukurani kubwa. Tunaomba mzipokee.
Kwa mara nyingine tunawashukuru nyote kwa ushirikiano mkubwa. Pia tunaomba tuendelee na ushirikiano na mshikamano kati yetu. M/Mungu azidi kuibariki Tanzania. amina
Ahsanteni Uongozi: New York Tanzanian Community
Picha ya pamoja.

No comments :

Post a Comment