Naibu Waziri wa Viwanda na
Biashara, Gregory George Teu (kushoto) akipewa maelezo ya uzalishaji wa bidhaa
za Kampuni ya Azam kutoka kwa Msagishaji Mkuu, Patrick Muriuki wakati
alipotembelea Kiwanda hicho jijini Dar es Salaam. (Picha na Habari Mseto Blog)
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment