
Bondia Denis Mwaisarage (kulia) akijaribu kutupa konde kwa mpinzani wake, Said Mtubukwa, wakati wa mazoezi ya kuchagua timu ya Taifa ya ngumi yaliyofanyika Dar es salaam jana (Picha na Rajabu Mhamila)

Bondia Sanday Elias (kulia) akijaribu kutupa konde kwa mpinzani wake, Noel Akwilini, wakati wa mazoezi ya kuchagua timu ya Taifa ya ngumi yaliyofanyika Dar es salaam jana (Picha na Rajabu Mhamila)

Kocha wa mchezo wa ngumi, Habibu Kinyogori (kushoto) akiwaelekeza jinsi ya kutupa ngumi wachezaji wa mchezo uho wa klabu ya Simba Dar es salaam juzi.(Picha na Rajabu Mhamila)
No comments :
Post a Comment