Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, February 24, 2010

SERENA WILLIAMS ASAIDIA KENYA

Makamu wa Raisi Kalonzo Musyoka amepongeza jihudi za mcheza Tenis nambari moja Duniani Serena Williams wakati akifungua shule nchini Kenya.
Musyoka amesema washirika wake ambao ni wanaongoza kwa usalishaji komputa kampuni ya Hewlett-Packard (HP) na Charitable organization - Build African Schools, limeahidi licha ya kukamilika kwa ujenzi wa shule hiyo litawawezesha vifaa vya komputa ikiwa ni pamoja na maabara ya mtambo wa kompyuta kwa ajili ya kupatikana internet.
Makamu huyo wa Raisi, ambaye amemualika kuungana na mfuko wake wa Kalonzo Musyoka Foundation kwa ajili ya kuwasaidiza wanafunzi udhamini wa masomo, na kusema itaweza kumnufaisha zaidi Ms Williams hasa kufuatia katiba mpya.
Musyoka anasema Serena Williams amegusa maisha ya watu wengi wa Kenya na amefanya makubwa kwa wakenya.
Ms Williams amesema ataendelea kusaidia Kenya sit u kufungua na kutoa misaada mashuleni lakini pia kujenga na kuwezesha vifaa vya Kompyuta ikiwa ni pamoja na nchi zingeni barani Afrika.
Ms Williams amefungua shule ya Wee Secondary School iliyopo Matiliku wilaya ya Makueni.

1 comment :

  1. Maximo,tunashukuru kwa kutujuza mambo mengi ya viwanjani,lakini naomba muwe up to date bwana,mambo mengi hapa naona ni ya zamaani,msimamo wa ligi huo umepitwa na wakati,hiyo nani kutwaa ubingwa wa tusker ndo inatia kichefu chefu zaidi,jitahidi kuupdate Blog yako kila baada ya muda ndugu.asante.

    ReplyDelete