Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00
TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
Sunday, April 3, 2011
BENKI YA BARCLAYS YATOA MSAADA WA SH.MILIONI 3.5 KWA YATIMA, YAWAPA MAFUNZO YA ELIMU FEDHA
Ofisa Uhusiano wa Benki ya Baclays Tanzania, Moni Msemo, akiendesha mafunzo ya Elimu Fedha kwa watoto Yatima na waishio katika mazingira magumu wanaolelewa katika Kituo cha Friends Of Don Bosco kilichopo Kimara Dar es Salaam, wakati wafanyakazi wa benki hiyo walipofika kituoni hao leo mchana pamoja na kutoa mafunzo hayo na kukabidhi hundi ya Sh. milioni 3.5 kwa ajili ya kuwalipia ada wanafunzi wa shule za Sekondari wanaolelewa na kituo hicho. Mkurugenzi wa Mkopo Binafsi wa Benki ya Barclays Tanzania, Musa Kitoi (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni 3.5 Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Salma Kikwete, Ndahani Mwenda, aliyepokea kwa niaba ya wenzake kwa ajili ya kulipia ada za shule watoto hao Yatima na waishio katika Mazingira magumu, wanaolelewa katika Kituo cha Friends of Don Bosco kilichpo Kimara Dar es Salaam. Makabidhiano hayo yalifanyika kituoni hapo leo chana wakati wafanyakazi wa benki hiyo walipofika kutoa mafunzo ya Elimu Fedha kwa watoto hao. Viongozi wa Benki ya Barclays, wakisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili kituoni hapo leo. Wasanii ambao ni wanafunzi wanaolelewa katika Kituo cha kulelea Watoto Yatima na wale waishio katika Mazingira magumu cha Friends Of Don Bosco, John Msuha, anayesoma Mwaka wa pili Chuo cha Mzumbe, kutoka (kushoto nyumba yake) ni Aurelia Kiwone, Selina Flujens na Janny Maridadi, wakiimba kutoa burudani wakati wa hafla hiyo
Kocha Kondo nassoro akimwelekeza bondia chipukizi Zainabu Mhamila (Ikota) huku nyuma akielekezwa jinsi ya kutembea na kocha Habibu Kinyogoli wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es Salaam
DVD MPYA YA MASUMBWI YA BONDIA SAID MBWELWA
DVD MPYA YA BONDIA MTANZANIA SAID MBELWA AKICHEZA MAPAMBANO YAKE NJE YA NCHI KWA MAHITAJI FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI AU PIGA SIMU 0713406938
KAVA YA VIDEO YA SUPER D BOXING COACH
SUPER D BOXING COACH DVD MPYA
DVD MPYA ZA SUPER D BOXING COACH SASA ZIPO SOKONI
DVD MPYA ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MAITAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU
0787 0774 0754 4O6938 0713 0733 AU FIKA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO DAR ES SALAAM AU FIKA JENGO LA AZAM MSIMBAZI KARIBU NA POLISI POST GEREZANI p.o.box 15493 DAR Email.superdboxingcoach@gmail.com http://www.facebook.com/groups
EWURA KINARA UHUSIANO MWEMA NA VYOMBO VYA HABARI
-
Pichani, Bw Wilfred Mwakalosi (kushoto), Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na
Uhusiano EWURA akipokea tuzo kutoka kwa Bw. Bakari Machumu, moja ya majaji
wa tuzo...
DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838
SPORTSVIEWS
Visitors
Viwanjani time
DAWA YA NGUVU
TANGAZO
DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSISIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZI
No comments :
Post a Comment