Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00
TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
Thursday, April 7, 2011
KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda(kushoto) akisalimiana na mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana baada ya kuzungumza na maofisa habari, Elimu na Mawasiliano wa Wizara, Idara na Taasisi za Serikali, Mikoa na wakala mjini Dodoma leo .Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi (kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Clement Mshana nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Spikawa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na maofisa Habari,Elimu na Mawasiliano wa Wizara, Idara na Taasisi za Serikali na wakala wa Serikali nje ya Ukumbi wa Pius Msekwa baada ya kumalizika kwa mazungumzo. Viongozi wengine ni Naibu waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mkangara (wa tatu kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana(wa tano kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Habari,Uhusiano na Elimu kwa Umma Bungeni Jossey Mwakasyuka (wapili kutoka kushoto).Picha Zote na Aron Msigwa-MAELEZO
Kocha Kondo nassoro akimwelekeza bondia chipukizi Zainabu Mhamila (Ikota) huku nyuma akielekezwa jinsi ya kutembea na kocha Habibu Kinyogoli wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es Salaam
DVD MPYA YA MASUMBWI YA BONDIA SAID MBWELWA
DVD MPYA YA BONDIA MTANZANIA SAID MBELWA AKICHEZA MAPAMBANO YAKE NJE YA NCHI KWA MAHITAJI FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI AU PIGA SIMU 0713406938
KAVA YA VIDEO YA SUPER D BOXING COACH
SUPER D BOXING COACH DVD MPYA
DVD MPYA ZA SUPER D BOXING COACH SASA ZIPO SOKONI
DVD MPYA ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MAITAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU
0787 0774 0754 4O6938 0713 0733 AU FIKA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO DAR ES SALAAM AU FIKA JENGO LA AZAM MSIMBAZI KARIBU NA POLISI POST GEREZANI p.o.box 15493 DAR Email.superdboxingcoach@gmail.com http://www.facebook.com/groups
EWURA KINARA UHUSIANO MWEMA NA VYOMBO VYA HABARI
-
Pichani, Bw Wilfred Mwakalosi (kushoto), Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na
Uhusiano EWURA akipokea tuzo kutoka kwa Bw. Bakari Machumu, moja ya majaji
wa tuzo...
DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838
SPORTSVIEWS
Visitors
Viwanjani time
DAWA YA NGUVU
TANGAZO
DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSISIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZI
No comments :
Post a Comment