Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzani (TRAWU) Bakari Kiswara (kulia) na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi 'TUCTA' Bw.Nicholaus Mgaya wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa marehemu aliyekua Katibu Mkuu wa (TRAWU) Bw. Silvester Rwegasira kabla ya kumuaga TAZARA Dar es salaam
MRADI WA TAKA SIFURI WAZINDULIWA DAR
-
Taasisi ya Mazingira Plus wamejipanga wanatunza mazingira kwenye maeneo
ya Shule, na Taasisi kwa kuzindua mradi umaofahamika kwa jina la Taka
Sifuri.
...
8 hours ago
No comments :
Post a Comment