Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, April 5, 2011

KCB BENKI YAKABIDHI MSAADA WA VYAKULA KWA WAATHIRIKA MILIPUKO YA MABOMU YA GONGO LA MBOTO…!!!


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya KCB Tanzania Bw. Joram Kiarie (kulia) akikabidhi msaada wa Vyakula kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Said Mecky Sadiki kwa ajili ya Waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Masoko na Mahusiano wa benki hiyo Christina Manyenye.



Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Said Mecky Sadiki akitoa shukrani kwa Mkuu wa Idara ya Masoko na Mahusiano wa benki hiyo Bi. Christina Manyenye mara baada ya kukabidhiwa msaada huo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo.



Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya KCB Tanzania Bw. Joram Kiarie akizungumza na waandishi wa habari.


*******************************


HOTUBA YA MKURUGENZI MTENDAJI - BENKI YA KCB TANZANIA, NDUGU JORAM KIARIE KWENYE HAFLA YA MAKABIDHIANO YA VYAKULA MBALIMBALI KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MILIPUKO YA MABOMU YA GONGOLAMBOTO TAREHE– 05 /04/2011


Kwa niaba ya Benki ya KCB Tanzania na wafanyakazi wake wote, ninayo amani kusimama mbele yenu kwa madhumuni ya kukabidhi vakula mbalimbali vyenye thamani ya Tsh 2.0m kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania wenzetu walioathirika na milipuko ya mabomu ya Gongolamboto iliyotokea hivi karibuini.

No comments :

Post a Comment