Katika
harakati za kumpata mrembo wa taifa
atakayewakilisha nchi katika mashindano ya urembo ya dunia, baadhi ya
vitongoji
vya DSM vinaendelea na maandalizi ya kupata warembo wake ambapo
vitongozi wa
SINZA na KIGAMBONI vitapata warembo wake juni SABA mwaka huu Somoe
Ng'itu maribu wa Miss Kigamboni amsema shindano hilo litapambwa na bendi
ya FC Academia litafanyika Kigamboni
WAZIRI MASAUNI ZIARANI OSLO NORWAY
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Hamad
Masauni ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Kampuni ya Hafslund
Celsion inay...
6 hours ago
No comments :
Post a Comment