Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, June 23, 2013

Taswira Kutoka Wizara ya Fedha:Wizara ya Fedha Yashiriki Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Ghana



 Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Christine akiwaeleza wananchi wa Ghana jinsi idara ya  Mhasibu Mkuu wa Serikali inavyosaidia Watumishi wa Umma katika kupata Mikopo.
 Afisa Tawala Mwandamizi Bw. E. Ndofi kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Wizara ya Fedha, akitoa ufafanuzi kuhusu watumishi wa Idara na Vitengo vilivyopo kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali wakati wa maonesho ya wiki ya utumishi wa umma Nchini Ghana 
  Msemaji wa Wizara ya Fedha akiwa ameambatana na washiriki wengine kutoka wizara ya fedha wakiwa kwenye banda la Zimbambwe wakibadilishana uzoefu juu ya utendaji kazi katika nyanja mbalimbali walipokuwa Nchini Ghana.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani alipotembelea Banda la Wizara ya fedha katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.
 Mwakilishi kutoka Wizara ya Fedha chini ya Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Miriam Mnzava alipotembelea banda la Zimbabwe wakati wa maonesho hayo.
  Washiriki wa Maonesho ya Wiki ya Utumishiwa Umma kutoka Tanzania na nchi nyingine wakifurahia ushiriki katika maonesho hayo Nchini Ghana.
Washiriki wa Maonesho ya Wiki ya Utumishiwa Umma kutoka Tanzania na nchi nyingine wakifurahia ushiriki katika maonesho hayo Nchini Ghana.
Mkuu wa Kitengo Cha Ukaguzi wa Mikataba katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Steven H. Issack alipotembelea banda la wizara ya fedha kutaka kupata ufafanuzi juu ya uanzishwaji wa mikopo kwa watumishi wa umma kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali,  kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Bi. Christine Ngonyani na kulia ni Bi. Miriam Mnzava Nchini Ghana.Picha na
Scola Malinga-Wizara ya fedha, Tanzania

imetolewa na 
Ingiahedi Mduma
Msemaji wa wizara yaf edha

No comments :

Post a Comment