Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Bi.
Mercy Silla (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii
Tanzania (SHIWATA) baada ya ujumbe huo kumtaarifu kuhusu tamasha la
Wasanii litakalofanyika Juni 29, 2013, Mkuranga.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii
Tanzania (SHIWATA), Caasim Taalib akikaribishwa ofisini na Ofisa
Utamaduni Utamaduni wa Wilaya ya Mkuranga, Bw. Lucas Kamwavah
alipokwenda kuomba kibali cha Tamasha la Mastaa Chipukizi
litakalofanyika kijiji cha wasanii Mwanzega, Mkuranga Juni 29 mwaka
huu.
MKUU WA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI WIZARA YA FEDHA ATOA RAI UTOAJI
WA TAARIFA SAHIHI NA KWA WAKATI
-
Mwenyekiti wa Kamati Mawasiliano ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha
Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja amewataka
wajumbe wa Ka...
1 hour ago
No comments :
Post a Comment