
Mshindi
wa taji la Redds Miss Kagera 2013 Maria Tubeti (Katikati) akiwa na
nyuso ya furaha mara baada ya kamati ya majaji kumtangaza mshindi katika
kinyanganyiro kilichoshirikisha walimbwendwe 14, Wa pili ni Hilda
Athanas na mshindi wa tatu ni Arodia Mahatane

Mshindi
wa taji la Redds Miss Kagera 2013 Maria Tubeti akifurahia kutwaa taji
hilo lililokuwa limeshikiliwa na Miss Talent Tanzania Babylove Kalalaa
aliyeshinda mwaka jana 2012.

Eeeee jamani Hongera kwa kushinda...

Warembo wote 14 wa Redd's Miss kagera 2013 wakitambulishwa

Washiriki wa Shindano la redd's miss Kagera 14 wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Majaji
walianza kutaja Tano Bora hapa.(Kutoka kulia ni jaji Abella Kamala
mtangazaji wa Radio Kasibante fm, jaji wa katikati ni Bi Beata na wa
kushoto ni Jaji Edgar)

Tano Bora

Maria Tubeti akijibu swali

Warembo waliochagulia tano bara wakiwa na tabasamu baada ya kutajwa na kusonga mbele

Miss aliyeachia taji lake leo hii ambaye pia ni Miss Talent Tanzania Babylove Kalalaa

Majaji wakitaja Mshindi wa tatu, wa pili na
No comments :
Post a Comment