| BONDIA Kalama Nyilawila akifanya mazoezi kabla ya mpambano wake na Kaminja Ramadhani picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com BONDIA Kalama Nyilawila atapanda ulingoni jumapili ya novemba 10 katika ukumbi wa Zulu Paradise pugu kilumba kupambana na Kaminja Ramahani mpambano huo wa Raundi 6 utakaopigwa kabla ya mpambano mkubwa kati ya Shabani Kaoneka 'BSS' na Said Mbelwa 'Moto wa Gesi' awajaoneshana kazi katika mpambano wao wa raundi 8 akizungumzia mpambano huo kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini ambaye ni mratibu wa mpambano huo Rajabu mhamila 'Super D' amesema mpambano huo ni mahususi kwa wakazi wa vitongoji vya pugu ,chanika,ilala na jiji la Dar es salaam kwa ujumla utakaowakutanisha mabondia mbalimbali ambapo watapigana katika mapambano ya utangulizi bondia Chirambo Hemed atavaana na Sharif Mzezele uku Adamu Ngange akioneshana kazi na Shabani Mtengela 'Zunga Boy' ,Hamza mchanjo atamenyana na Tonny King mpambano mwingine utawakutanisha Twaribu Mchanjo atakaepambana na Mohamed Kashinde,Said Uwezo na Sindano Paul Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile |
MSUVA AUNGA MKONO MPANGO WA MAFUNZO WA JAB KUELEKEA AFCON 2027
-
Na Mwandishi Wetu
Mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Simon
Msuva, amepongeza mpango wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa H...
2 days ago
No comments :
Post a Comment