Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, February 16, 2014

BONDIA TWALIBU MCHANJO AMSAMBALATISHA ELIYA NGOZI KWA POINT


Bondia Twalibu Mchanjo kulia akimpiga mpinzani wake Eliya Ngozi, konde zito ambalo lilimpeleka mpaka sakafuni na kuhesabiwa hata hivyo alirudi uringoni kupambana Mchanjo alishinda kwa point 
Bondia Twalibu Mchanjo kulia akimpiga mpinzani wake Eliya Ngozi, konde wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita, Mchanjo alishinda kwa point 
Bondia Twalibu Mchanjo kulia akiamuliwa na refarii Saidi Chaku aende kona nyeupe ili aenderee kumuhesabia mpinzani wake Eliya Ngozi, baada ya kumtandika konde na kwenda sakafuni
Bondia Twalibu Mchanjo
Bondia Twalibu Mchanjo akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake
Bondia Lulu Kayage kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fadhira Adam wakati wa mpambano wao uliofasnyika wakati wa sikukuu ya wapendanao katika ukumbi wa Mpo Afrika Tandika Dervis Corne Dar es salaa mpambano huo walitoka Droo PICHA NA www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Lulu Kayage kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fadhira Adam wakati wa mpambano wao uliofasnyika wakati wa sikukuu ya wapendanao katika ukumbi wa Mpo Afrika Tandika Dervis Corne Dar es salaa mpambano huo walitoka Droo PICHA NA www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mabondia Adam Yahaya kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mohamed Kikolekwa wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Yahaya alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mabondia Mohamed Kikolekwa kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adam Yahaya wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika kwa mama Rajabu mwishoni mwa wiki iliyopita Yahaya alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Fadhili Awadhi kushoto akipambana na Mfaume Jumanne wakati wa mpambano wao Awadhi alishinda kwa K,O ya raundi ya pili ya mpanmbano huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Fadhili Awadhi akiwa amemgalagaza chini Mfaume jumanne

No comments :

Post a Comment