Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, February 6, 2014

JUMUIYA YA WANAFUNZI WA KITANZANIA NCHINI KENYA CHUONI (USIU) WAPATA VIONGOZI WAPYA




 Umoja wa wanafunzi wa kitanzania chuoni United States International University (USIU) nchini kenya wachagua viongozi wapya wa mwaka huu.

Majina ya viongozi wapya ni kama ya fuatavyo, Mwenyekiti ni Erick Ochaka, Katibu mkuu ni Robin Mwanga, Mratibu ni Muungano Mapunda , Mweka Hazina ni Theresa Serge , watoa habari ni Francis Dedede na Anna Randa.

Zoezi zima lisingeweza kimamilika bila the Electoral Committee Ambayo mwenyekiti wa Kamati hiyo alikua mwenyekiti aliemaliza muda wake miaka miwili iliyopita, Ms Esther Lugoe mwanamke wa kwanza na mwanamke pekee aliyewahi kishika nafasi ya wenyekiti wa jumuiya (ambaye kwa sasa  anafanya kazi za kujitolea (Volunteer) na United Nations Development Programme (UNDP) Somalia), Katibu Mkuu Curtbert Fidel na Mshauri mkuu ndugu Glen Kapya ( Director of Marketing and Corporate Affairs at DARLET COMPANY LIMITED, ambaye pia alikua mwenyekiti wa jumiiya hii mika mitatu iliyopita.) na wengine.

Mwenyekiti wa jumuiya 2014 (Erick Ochaka) ameahidi kudumisha umoja wa watanzania nchini kenya na pia kujenga mahusiano mazuri baina ya wanajumuiya.

zoezi hilo lilifanyika jana jumatano saa tatu usiku, United States International University, Nairobi, Kenya.

No comments :

Post a Comment